Category: Kimataifa
Madagascar yaridhia atakayebaka watoto ahasiwe
Serikali ya Madagascar imeidhinisha sheria ya kuhasiwa kwa atakayekutwa na hatia ya ubakaji dhidi ya watoto. Ni sheria ambayo imezua minongono na mabishano ndani ya Bunge la nchi hiyo. Mwezi wa pili ndipo bunge la Seneti la Madagascar lilipoipitisha sheria…
Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram kufikishwa mahakamani
Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram Pavel Durov, amepelekwa mahakamani mjini Paris ambapo anaweza kufunguliwa mashtaka rasmi, baada ya muda wa kwanza wa kukamatwa na kuhojiwa kumalizika. Mwanzilishi wa mtandao wa Telegram Pavel Durov, amepelekwa mahakamani mjini Paris ambapo anaweza kufunguliwa…
Aliyepatikana na mafuvu ya vichwa vya binadamu Uganda kushtakiwa
Mwanamume mmoja raia wa Uganda anayedaiwa kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya binadamu huenda alikuwa akiyatumia kutoa kafara ya binadamu na anaweza kufungwa jela maisha, polisi wameiambia BBC. Msemaji wa polisi Patrick Onyango alisema mshukiwa, Ddamulira Godfrey, atafunguliwa mashtaka…
Hezbolllah yasema ilirusha makombora zaidi ya 320
Kundi la Hezbollah limesema kwamba limerusha makombora zaidi ya 320 kuelekea Israel alfajiri ya Jumapili. Katika taarifa iliyotolewa mapema Asubuhi, kundi hilo lilisema kwamba lililenga maeneo kumi na moja ya kijeshi kaskazini mwa Israel kwa kutumia maroketi za aina ya…
Urusi yaishambulia Ukraine kwa makombora na droni
Ukraine imesema Urusi imevurumisha makombora na droni kwa usiku kucha ikilenga maeneo ya kaskazini na mashariki mwa Ukraine. Aidha Jeshi la Anga Ukraine limeongeza kwamba droni nane kati ya tisa zilizorushwa na Urusi ziliharibiwa na mifumo ya anga ya Ukraine…
Dola milioni 18.5 kudhibiti Mpox
Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji (IOM), limeomba msaada wa dola milioni 18.5 kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa watu walioathiriwa na mripuko wa homa ya Mpox Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkurugenzi Mkuu wa IOM,…