JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Zaidi ya watu 70,000 waliojitolea kuipigania Urusi wafa Ukraine

Zaidi ya watu 70,000 wanaopigana katika jeshi la Urusi sasa wamefariki nchini Ukraine, kulingana na data iliyochambuliwa na BBC. Na kwa mara ya kwanza, watu wa kujitolea raia ambao walijiunga na vikosi vya jeshi baada ya kuanza kwa vita, sasa…

UN yaridhia Israel kuondoka Palestina

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kuunga mkono la kisheria la Palestina linaloitaka Israel kuondoka Gaza na maeneo yanayokaliwa kwa mabavu katika ukanda wa magharibi nchini humo. Mataifa 43 kati 193 zikiwemo Ujerumani, yamejizuwia kupiga kura kuhusu…

Trump anusurika jaribio jingine la mauaji

RAIS wa zamani Donald Trump yuko salama kufuatia jaribio la mauaji katika uwanja wake wa gofu wa Florida, na “mshukiwa wa tukio hilo ” yuko kizuizini, mamlaka ya Marekani imethibitisha. Maafisa wa usalama waliona mtutu wa bunduki likipenya kwenye vichaka…

Rais wa Komoro aliyeshambuiwa na Polisi kwa kisu anaendelea vyema

MAAFISA nchini Komoro wamesema kuwa Rais Azali Assoumani’hayuko hatarin’ baada ya kujeruhiwa siku ya Ijumaa kwa kisu na Polisi mwenye umri wa miaka 24, ambaye baadaye alipatikana amekufa. Maafisa nchini Komoro walisema kuwa Rais Azali Assoumani hayuko hatarini baada ya…

Watu 37 wahukumiwa kifo kwa jaribio la mapinduzi DRC

MAHAKAMA ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliwahukumu kifo watu 37, wakiwemo raia watatu wa Marekani, baada ya kuwatia hatiani kwenye mashitaka ya kushiriki katika jaribio la mapinduzi. Akisoma hukumu hiyo siku ya juzi mjini Kinshasa, Jaji Meja…

Iran yawekewa vikwazo madai ya upelekaji makombora Urusi

Mataifa makubwa ya magahribi yametangaza orodha mpya ya vikwazo dhidi ya Iran wanayoituhumu kuipatia Urusi makombora ya masafa marefu ambayo inaaminika Moscow itayatumia dhidi ya Ukraine. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimetangaza kuifuta mikataba yote ya sekta ya anga na jamhuri…