JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Marekani : Iran inataka kumuua Trump

IDARA ya Ujasusi ya Marekani imemuonya mgombea urais kwa tiketi ya Republican, Donald Trump, juu ya kile inachodai ni kitisho cha kweli na cha wazi kutoka Iran inayotaka kumuua. Timu ya kampeni ya mgombea huyo ilisema kwenye taarifa yake ya…

Wasafirishaji binadamu wakamatwa

Polisi nchini Ujerumani imefanya msako katika majengo kadhaa kusini magharibi mwa nchi hiyo ili kuwakamata  watu wanaojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu . Jeshi la Polisi nchini humo tayari limeshapokea hati nne za kuwakamata na msako huo utaendelea kufanyika  katika…

P Didy aomba kuzungumza na watoto wake

Na Isri Mohamed Wakati akisubiri kusikiliza kesi yake katika kituo cha Metropolitan Detention Center cha Brooklyn, New York City, Rapa Sean Didy Combs maarufu kama P Didy, ameomba kuzungumza na watoto wake kwa njia ya simu ili kujua hali zao….

Shambulizi la Urusi nchini Ukraine lakatiza huduma za umeme

Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo la kati mwa Ukraine, Poltava limeharibu miundo mbinu ya nishati na kukata umeme kwenye makazi 20. Haya yamesemwa leo na mamlaka katika eneo hilo. Shambulizi la usiku kucha la Urusi katika eneo…

Meli ya kivita ya Misri yapeleka silaha Somalia

Waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia amesema ana wasiwasi kwamba silaha zilizopelekwa nchini Somalia huenda zikaishia mikononi mwa magaidi. Haya yameripotiwa leo na shirika la habari la serikali ya Ethiopia siku moja baada ya meli ya kivita ya Misri…

Mashambulizi Israel yaua watu 490

 Israel imezidisha vita vyake dhidi ya wanamgambo wa Hezbollah nchini Lebanon Septemba  23, huku vita hiyo ikiua takriban watu 490 na kujeruhi wengine zaidi ya 1,650 katika mashambulizi makubwa ya anga ambayo yamezua wasiwasi wa kutokea vita vikali. Jeshi la…