Category: Kimataifa
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea vita Baridi
Urusi imekosoa mpango wa Marekani wa kupeleka makombora ya masafa marefu nchini Ujerumani ikisema hatua hiyo inawarejesha kwenye zama za Vita Baridi. Msemaji wa Ikulu ya Kremlin, Dmitry Peskov ameishutumu Ujerumani, Marekani, Ufaransa na Uingereza kwa kujiingiiza moja kwa moja…
WHO: Homa ya nyani bado ni tishio la kiafya ulimwenguni
Shirika la Afya ulimwenguni, WHO limetahadharisha kwamba maradhi ya homa ya nyani bado ni kitisho cha kiafya kote ulimwenguni bila kujali mipaka. huku likielezea wasiwasi wake kwa kuangazia hasa mlipuko wa aina mpya na mbaya zaidi ya virusi vya homa…
Rais Ruto avunja Baraza lake la mawaziri
Rais wa Kenya William Ruto, amelivunja baraza lake la mawaziri na kumfuta kazi mwanasheria mkuu wa serikali, ikiwa ni sehemu ya hatua anazochukua kufuatia maandamano makubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z. Akihutubia taifa kupitia televisheni nje ya Ikulu…
Jela miaka sita kwa kumtukana rais wa Uganda
Mahakama nchini Uganda imemhukumu kijana wa miaka 24 kifungo cha miaka sita jela kwa kumtusi rais na familia yake kupitia video yake iliyowekwa kwenye TikTok. Edward Awebwa alishtakiwa kwa matamshi ya chuki na kueneza taarifa “za kupotosha na zenye nia…
Rais wa Sudan Kusini amfukuza kazi waziri wa fedha
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfukuza kazi Waziri wa Fedha Awow Daniel Chuong ambae amehudumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miezi minne, huku sababu za uwamuzi huo hazikuwekwa hadharani. Katika miaka ya hivi karibuni, Uchumi wa Sudan Kusini…
Biden aendelea kushinikizwa asiwanie
Rais Joe Biden anaendelea kukabiliwa na wito wa kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha urais na kumpisha mgombea mwengine wa chama chake kupambana na Donald Trump kwenye uchaguzi wa Novemba mwaka huu. Magavana na wabunge kadhaa wa chama chake wanangoja mahojiano ya…