Category: Kimataifa
Taye Selessie achaguliwa kuwa Rais mpya Ethiopia
Mabunge mawili ya Bunge la Ethiopia yamemchagua Taye Atske Selassie, Mwanadiplomasia kuwa Rais wa nchi hiyo. Taye Atske Selassie ameapishwa Oktoba 07, 2024 na kukabidhiwa katiba na Rais wa nchi anayemaliza muda wake. Taye anachukua mikoba ya Rais wa kwanza…
Watu 70 wamekufa Haiti
Watu wasiopungua 70 wameuawa na wengine wapatao 6,300 wamekimbia makaazi yao kufuatia shambulio lililofanywa katikati mwa Haiti na genge la wahalifu. Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema katika ripoti yao iliyotolewa wiki iliyopita kuwa, karibu asilimia 90 ya watu…
Iran yaruhusu usafiri wa anga
Mamlaka ya usafiri wa anga nchini Iran imeruhusu mashirika ya ndege kuanza kupanga ratiba ya safari zake za ndege baada ya kujiridhisha usalama wa anga upo. Kwa mujibu wa Msemaji wa mamlaka ya usafiri wa anga amesema safari zote za…
Israel yashambulia ngome za Hezbollah mjini Beirut
Vyombo vya habari vimeripoti kutokea kwa mashambulizi manne ya anga yaliyofanywa na Israel katika eneo la kusini mwa mji wa Beirut, muda mfupi baada ya Jeshi la Israel kuwahimiza watu waondoke katika ngome za Hezbollah. Shirika la habari la kitaifa…
Mchakato wa Kupata Mrithi Wa Papa waanza
Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amewatawadha makadinali 20 ambao wataongezwa katika orodha ya kupata mrithi wake baada ya kifo au kujiudhulu. Miongoni mwa waliotawazwa wakati wa hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye kanisa ya St Peter Basillica, 16 miongoni…
Ajali ya boti yaua takribani watu 50 Kongo Mashariki
Takriban watu 50 wamefariki baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupinduka katika Ziwa Kivu, mashariki mwa Kongo hii leo.Mashuhuda wameliambia shirika la habari la AP. Idadi kamili ya waliokuwamo kwenye boti hiyo haikufahamika mara moja na kwamba ni watu watu wangapi…