JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Meli yenye bendera ya Tanzania yazama Taiwan

Maafisa wa uokoaji nchini Taiwan wanatafuta meli ya mizigo iliyokuwa na wafanyakazi tisa ambayo imezama kwenye pwani yake ya kusini. Meli hiyo yenye bendera ya Tanzania ilikuwa imetoka katika bandari ya kusini ya mji wa Kaohsiung wakati Taiwan ilipokumbwa na…

WHO ina wasiwasi wa kuzuka mripuko wa ugonjwa wa polio Gaza

Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonesha wasiwasi juu ya uwezekano wa miripuko katika Gaza iliyokumbwa na vita baada ya virusi vya ugonjwa wa kupooza kugunduliwa kwenye maji taka Ayadil Saparbekov, ambae ni mkuu wa…

Democratic waonekana kumuunga mkono Harris

Makamu wa Rais,Kamala Harris ameonekana kuungwa mkono  na wajumbe wa kutosha wa Chama cha Democratic  kuteuliwa kuwa mgombea wa urais wa chama hicho. Utafiti uliofanywa na Shirika la Habari la Associated Press  umegunduakuwa zaidi ya wajumbe 1,976 wako tayari kupiga…

Uchaguzi wa Marekani 2024, Trump sasa ndiye mteule

Mengi yamefanywa kuhusu umri wa Joe Biden na Donald Trump na jinsi wapiga kura wanavyowaangalia Mtazamo huo ulikuwa zaidi kwa Biden mwenye umri wa miaka 81 ambaye kashfa, mashaka na makosa yake yyalikuwa gumzo – hasa katika wiki baaya mjadala…

Biden ajitoa kwenye kinyang’anyiro cha urais Marekani

Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kusitisha kampeni za kuwania muhula wa pili wa urais na kusema amechukua uamuzi huo ”kwa maslahi ya chama chake na nchi.” Uamuzi wa Biden kujitoa kwenye mbio za urais umekuja ikiwa imesalia miezi minne…

Afrika Mashariki Kukabiliwa na Malaria Sugu,

Wanasayansi duniani wameziomba Mamlaka za Afya barani Afrika kuchukua tahadhari dhidi ya malaria sugu ambayo inadaiwa kuwa mamilioni ya watu wako hatarini kuambukizwa. Taarifa zinasema kuwa viwango vya dawa vimeonekana kutofanya kazi katika baadhi ya maeneo kutoka chini ya asilimia…