JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Jeshi la Israel latangaza kuuawa kwa wanajeshi wake sita

JESHI la Israel lilitangaza siku ya Jumatano kuwa wanajeshi wake sita waliuawa katika mapigano kusini mwa Lebanon. Hii inaleta idadi ya wanajeshi waliouawa katika vita na Hezbollah tangu kuanza kwa mashambulizi ya ardhini kwenye ardhi ya Lebanon mnamo Septemba 30…

Biden amkaribisha Trump Ikulu ya White House

Rais mteule wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alifika Ikulu ya White House kwa mara ya kwanza tangu aliposhinda uchaguzi wa wiki iliyopita. Mazungumzo yao yalidumu kwa muda wa saa mbili. Trump na Rais Joe Biden anayemaliza muda wake, ambao…

Rais mteule wa Marekani atembelea White House, akutana na Biden

Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump, alitembelea White House kwa mara ya kwanza baada ya miaka minne kukutana na Rais Joe Biden, hatua iliyolenga kuonyesha makabidhiano ya amani ya madaraka yatakayofanyika Januari 20. Ziara hii inaashiria hatua muhimu katika demokrasia ya…

Balozi wa Marekani nchini Kenya ajiuzulu

Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu kwake, hatua aliyowasilisha kwa Rais Joe Biden na kuwafahamisha wafanyakazi wa ubalozi huo Jumatano, Novemba 13, 2024. Whitman alieleza kuwa amefurahia nafasi yake katika kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Kenya,…

Trump amteua Susie Wiles kuwa Mtendaji Mkuu wa Ikulu

RAIS mteule wa Marekani Donald Trump amemteua Susie Wiles kuwa afisa mkuu wa utumishi wa ikulu ya White House. Huo ni uteuzi wa kwanza wa Trump baada ya ushindi wake kwenye uchaguzi wa Novemba 05 dhidi ya Kamala Harris. Kupitia…

Mashirika ya ndege yasitisha safari za Haiti baada ya ndege kupigwa risasi

Mashirika kadhaa ya ndege yamesitisha safari za kuelekea Haiti baada ya ndege ya abiria kutoka Marekani kupigwa risasi ilipokuwa ikijaribu kutua Port-au-Prince. Ndege ya Spirit Airlines 951 kutoka Fort Lauderdale huko Florida ilielekezwa katika nchi jirani ya Jamhuri ya Dominika,…