Category: Kimataifa
Tuhuma nyingine mpya dhidi ya P Diddy zazidi kumiminika
Mwanamuziki wa Hip-hop, Sean “Diddy” Combs kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa Serikali akisubiri kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za utapeli na utumwa wa ngono. Kukamatwa kwake huko New York kulikuja huku kukiwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa…
Urusi inasonga mbele kwa kasi nchini Ukraine
Jeshi la Urusi linasonga mbele kwa mafanikio makubwa, katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine, kwa mujibu wa utafiti. Taarifa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Vita (ISW) inaonyesha, kwa mwaka 2024 Urusi imenyakua karibu mara sita ya maeneo iliyonyakua…
Ukraine yaishambulia Urusi kwa makombora ya Marekani ya ATACMS
Ukraine imeapa kutokata tamaa katika siku ya 1,000 ya uvamizi wa Urusi, huku ikisisitiza dhamira yake ya kushinda vita dhidi ya Moscow. Wakati huo huo, Urusi imeongeza mvutano kwa kutangaza tishio jipya la nyuklia, ikilenga kuzuia mashambulizi yanayowezekana dhidi ya…
Mgombea wa upinzani atangazwa mshindi wa urais Somaliland
Katika uchaguzi mkuu wa urais uliofanyika Novemba 13 nchini Somaliland, kiongozi wa upinzani Abdirahman Mohamed Abdullahi, maarufu kama “Irro”, ameibuka mshindi baada ya kupata asilimia 63.92 ya kura zote. Karibia watu milioni 1.2 walijitokeza kupiga kura, na zoezi hilo lilielezewa…
Dawa maarufu ya kupunguza uzito yaanza kuuzwa China
Kampuni ya Novo Nordisk imezindua dawa yake ya kupunguza uzito ya Wegovy nchini China baada ya kuidhinishwa na mamlaka ya afya mwezi Juni. Zaidi ya watu milioni 180 wanaishi na uzito wa kupindukia nchini China, ambayo ina idadi ya watu…
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wakataa mchango wa Ruto
Jimbo kuu la Kanisa Katoliki Nairobi limesisitiza kujitolea kwake kuzingatia sera ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Kenya (KCCB) kuhusu michango ya kisiasa kanisani. Hapo juzi, Jimbo Kuu lilitangaza kukataliwa kwa michango kadhaa iliyotolewa katika Kanisa Katoliki la…