Category: Kimataifa
Netanyau aikosoa ICC kutoa warranty ya kukamatwa
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu (ICC) wa kutoa waranti ya kukamatwa kwake akisema ni “chuki” dhidi yake na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant. Alisema ICC inawashtumu…
Rais Ruto atoa hotuba bungeni kuhusu mustakabali wa taifa
Hotuba ya leo inakuja wakati huu serikali yake ikiendelea kutuhumiwa kutokana na visa utekaji wa watu, ufisadi na sera za kiuchumi ambazo zimepingwa. Wiki hii kulikuwa na wito wa kufanyika maandamano kupinga hotuba ya rais Ruto. Licha ya wito huo…
Mchezaji Shawky afariki uwanjani
Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Kafr El Sheikh SC inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri, Mohamed Shawky amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla uwanjani wakiwa kwenye mechi ya ligi dhidi ya Kazazeen iliyochezwa Novemba 14, 2024. Madaktari…
Waziri Mkuu Mali afutwa kazi kwa kuukosoa utawala wa kijeshi
Mkuu wa kijeshi wa Mali Kanali Assimi Goita amemfuta kazi Waziri Mkuu wa kiraia Choguel Kokalla Maiga na serikali yake. Hii ni siku chache tu baada ya Maiga kufanya ukosoaji wa nadra wa watawala wa kijeshi. Amri iliyotolewa na Kanali…
Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza
Ukraine imeripotiwa kurusha kwenye maeneo ya ndani ya Urusi makombora ya masafa marefu aina ya Storm Shadow yaliyotengenezwa na Uingereza. Hii ni licha ya Urusi kuendelea kuonya dhidi ya hatua ya aina hiyo. Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…
Zelensky : Ukraine itapoteza vita ikiwa Marekani itapunguza ufadhili
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliiambia Fox News siku ya Jumanne kwamba Ukraine itapoteza vita ikiwa Washington, mfadhili wake mkuu wa kijeshi, ataondoa ufadhili. Kiongozi huyo wa Ukraine alisema itakuwa “hatari sana iwapo tutapoteza umoja barani Ulaya, na lililo muhimu…