Category: Kimataifa
Viongozi wa dunia walaani shambulio la Urusi Ukraine
VIONGOZI wa dunia wamelaani shambulizi la makombora la Uris dhidi ya Ukraine siku ya Jumapili, moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika miezi kadhaa, huku Rais wa Marekani Donald Trump akiliita “jambo baya” na “kosa.” Viongozi wa dunia wamelaani vikali Urusi…
Israel yatangaza kutanua mashambulizi Ukanda wa Gaza
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ametangaza kuwa jeshi lake linapanga kuongeza mashambulizi kwenye maeneo mengi ya Ukanda wa Gaza na amewaamuru wakaazi waondoke katika sehemu zenye mapambano. Ametoa tangazo hilo wakati jeshi la Israel likidai kuwa limeuzingira mji…
Uingereza kuipatia msaada wa kijeshi Ukraine
Serikali ya Uingereza imetangaza itaipatia Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa kima cha dola milioni mia nne na hamsini ambazo zitatumika kununua ndege mpya zisizoendeshwa na marubani na kukarabati vifaru vya kijeshi. Hayo yalitangazwa katika mkutano ulioendeshwa na Uingereza na…
UAE inaongoza mauaji ya halaiki Sudan
Serikali ya Khartoum imeufikisha Umoja wa Falme za Kiarabu mbele ya mahakama ya ICJ, ikiishtaki kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya Masalit kwa kuwaunga mkono wanamgambo wa RSF. Sudan imeieleza Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ…
Watu 23 wauawa kufuatia shambulio la Israel Gaza
Ndege za kijeshi za Israeli zimeshambulia jengo la makaazi ya watu katika eneo la kaskazini mwa Gaza lililoharibiwa kwa vita na kusababisha vifo vya takriban watu 23. Vifo hivyo vimeripotiwa wakati mapigano yaliyoanza upya hivi karibuni katika ukanda huo yakionyesha…
Ushuru wa Trump unaojumuisha asilimia 104 dhidi ya China waanza kutekelezwa
Rais wa Marekani Donald Trump amesifu hatua yake ya kuziongezea ushuru bidhaa za nchi nyingi duniani zinazoingizwa Marekani akisema ni muhimu kwa maono yake kwa ajili ya Marekani. Kauli yake inakuja wakati akiiongezea maradufu ushuru China wa hadi asilimia 104….