Category: Kimataifa
Israel yashambulia ngome za Hezbollah mjini Beirut
Vyombo vya habari vimeripoti kutokea kwa mashambulizi manne ya anga yaliyofanywa na Israel katika eneo la kusini mwa mji wa Beirut, muda mfupi baada ya Jeshi la Israel kuwahimiza watu waondoke katika ngome za Hezbollah. Shirika la habari la kitaifa…
Mchakato wa Kupata Mrithi Wa Papa waanza
Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amewatawadha makadinali 20 ambao wataongezwa katika orodha ya kupata mrithi wake baada ya kifo au kujiudhulu. Miongoni mwa waliotawazwa wakati wa hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye kanisa ya St Peter Basillica, 16 miongoni…
Ajali ya boti yaua takribani watu 50 Kongo Mashariki
Takriban watu 50 wamefariki baada ya boti iliyokuwa imewabeba kupinduka katika Ziwa Kivu, mashariki mwa Kongo hii leo.Mashuhuda wameliambia shirika la habari la AP. Idadi kamili ya waliokuwamo kwenye boti hiyo haikufahamika mara moja na kwamba ni watu watu wangapi…
Kim atishia kuisambaratisha Korea Kusini kwa nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un leo ametishia kutumia silaha za nyuklia na kuisambaratisha kabisa Korea Kusini iwapo nchi hiyo itamchokoza. Haya ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari nchini humo. Hii ni baada ya kiongozi wa…
Uganda yasaka ufadhili wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme
Uganda inasaka ufadhili wa ujenzi wa mitambo mitatu ya kuzalisha umeme wa nyongeza wa maji wa zaidi ya megawati 1,600, kwa lengo la kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya nishati hiyo. Afisa wa Wizara ya Nishati nchini Uganda, Julius Namusaga,…
Israel: Mashambulizi ya Iran ni kitendo kikubwa cha uchokozi
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao cha dharura usiku wa kuamkia Alhamis kujadili mzozo unaozidi kutanuka wa Mashariki ya Kati. Balozi wa Iran kwa Umoja wa Mataifa ameliambia baraza hilo kwamba madhumuni ya nchi yake kuvurumisha makombora…