JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rubani afariki dunia angani

Ndege ya Shirika la Ndege la ‘Turkish Airlines’ lenye makao makuu yake nchini Uturuki imeripotiwa kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy jijini New York nchini Marekani mara baada ya nahodha wa ndege hiyo, Ilcehin Pehlivan…

Watu 339 wafariki dunia kufuatia mvua kubwa Niger

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Niger zimesababisha vifo vya watu 339 na kuwaacha zaidi ya watu milioni 1.1 bila makaazi rasmi tangu mwezi Juni. Waziri wa mambo ya ndani mwezi uliopita alifahamisha kuwa takriban watu 273 walipoteza maisha na wengine 700,000…

Watu 10 wafariki dunia baada ya mgodi kuporomoka Zambia

Takriban watu 10 wamekufa na idadi ya wengine isiyojulikana hawajulikani walipo baada ya mgodi kuporomoka katikati mwa Zambia. Mamlaka nchini Zambia imesema shughuli ya uokoaji inaendelea japo haijabainika idadi kamili ya wachimbaji madini waliofukiwa chini ya ardhi. Mgodi huo uliporomoka…

Taye Selessie achaguliwa kuwa Rais mpya Ethiopia

Mabunge mawili ya Bunge la Ethiopia yamemchagua Taye Atske Selassie, Mwanadiplomasia kuwa Rais wa nchi hiyo. Taye Atske Selassie ameapishwa Oktoba 07, 2024 na kukabidhiwa katiba na Rais wa nchi anayemaliza muda wake. Taye anachukua mikoba ya Rais wa kwanza…

Watu 70 wamekufa Haiti

Watu wasiopungua 70 wameuawa na wengine wapatao 6,300 wamekimbia makaazi yao kufuatia shambulio lililofanywa katikati mwa Haiti na genge la wahalifu. Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limesema katika ripoti yao iliyotolewa wiki iliyopita kuwa, karibu asilimia 90 ya watu…

Iran yaruhusu usafiri wa anga

Mamlaka ya usafiri wa anga nchini Iran imeruhusu mashirika ya ndege kuanza kupanga ratiba ya safari zake za ndege baada ya kujiridhisha usalama wa anga upo. Kwa mujibu wa Msemaji wa mamlaka ya usafiri wa anga  amesema  safari zote za…