Category: Kimataifa
Somalia Ethiopia kumaliza mivutano ya kikanda
Serikali ya Marekani imepongeza hatua ya makubaliano yaliyofikiwa na Somalia na Ethiopia ya kumaliza mivutano ya kikanda, iliyochochewa na shinikizo la Ethiopia la ufikiaji salama wa baharini. Katika taarifa maalum iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony…
Kiongozi Uganda aunga mkono kesi za kijeshi
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80 ametetea matumizi ya mahakama za kijeshi kuwashitaki raia, kufuatia malalamiko ya kukamatwa na kushtakiwa kwa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye. Besigye mwenye umri wa miaka 68 ameshtakiwa katika mahakama ya…
Mtoto wa miaka 11 aokolewa baada ya siku 3 baharini
Mtoto wa kike wa miaka 11 kutoka Sierreleone, aliyenusurika peke yake katika ajali ya boti aliokolewa usiku wa kuamkia Jumatano baada ya kukaa kwa siku tatu baharini katika kisiwa cha Italia cha Lampedusa. Shirika la hisani la uokozi la Kijerumani…
FIFA yathibitisha kuwa Saudi Arabia itaanda Kombe la Dunia 2034
Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanaume ya 2034 itafanyika Saudi Arabia, wakati Uhispania, Ureno na Morocco watakuwa wenyeji wa pamoja wa mashindano ya 2030, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha. Mechi tatu katika mashindano ya 2030 pia zitafanyika Argentina,…
Israel yathibitisha mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Syria
Israel imethibitisha kufanya mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Syria, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kuondosha mali za kijeshi nchini humo baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Katika taarifa yake jeshi la ulinzi la Israel (IDF)…
Netanyahu kutoa ushahidi mahakamani leo kuhusu tuhuma za ufisadi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutoa ushahidi mahakamani leo wa tuhuma za rushwa. Waendesha mashtaka wamemshutumu kwa kutoa makubaliano ya kisheria kwa wamiliki wa vyombo vya habari ili kupata habari chanya, na kukubali zawadi na faida za gharama…