JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Ukame wazidi Kusini mwa Afrika

SHIRIKA la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limewatahadharisha  mamilioni ya watu wanaoishi katika ukanda wa Kusini mwa Afrika kujihadhari na ukame unaoweza kusababisha maafa makubwa ya kibinadamu. Nchi ambazo zimetajwa katika ripoti hiyo ni pamoja na Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia,…

Korea Kaskazini yalipua barabara kwenda Kusini

Korea Kaskazini leo imelipua sehemu ya barabara zisizotumika ambazo awali ziliunganisha kwenda Korea Kusini huku mataifa hayo pinzani yakitishiana siku chache baada ya Kaskazini kudai mpinzani huyo alirusha ndege zisizokuwa na rubani katika anga la mji mkuu wake, Pyongyang. Kiongozi…

Nigeria watelekezwa airport, wagoma kucheza dhidi ya Libya

Na Isri Mohamed Katika hali ya kushangaza timu ya taifa ya Nigeria imeamua kurejea nchini kwao bila kucheza mchezo wao wa kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Libya, baada ya kufanyiwa vitendo ambavyo wamevitafsiri ni hujuma kutoka kwa wenyeji wao Libya….

Korea kaskazini iko tayari kuishambulia Korea Kusini

Korea Kaskazini imesema Jumapili kuwa vikosi vyake vya kijeshi viko tayari kuanzisha mashambulizi dhidi ya Korea Kusini, hatua ambayo imeongeza shinikizo kwa taifa hilo pinzani. Korea Kusini imekataa kuthibitisha iwapo ilituma droni hizo lakini ikaonya kuwa itaiadhibu vikali Korea Kaskazini…

Urusi yadaiwa kuwauwa wafungwa wa kivita wa Ukraine

Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Andrii Sybiha ametoa wito wa msaada kutoka kwa jamii ya kimataifa kufuatia ripoti za madai kwamba wanajeshi wa Urusi wanawapiga risasi wafungwa wa kivita wa Ukraine. Katika ujumbe kupitia mtandao wa kijamii wa…

Marekani yashambulia ngome za IS Syria

Vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi ya anga katika maeneo kadhaa yanayotajwa kuwa ngome za kundi linalojiita dola la Kiislamu ISIS nchini Syria, kulingana na Kamandi Kuu ya jeshi la Marekani kupitia mtandao wa X. Ripoti hiyo imebainisha kuwa mashambulizi hayo…