Category: Kimataifa
Aina mpya ya malaria yatishia Afrika
Maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika yamo hatarini iwapo aina mpya ya vimelea vya malaria vinavyopatikana barani Asia vitaenea na kufika barani Afrika. Watafiti wameonya kuwa vimelea hivyo havisikii dawa aina ya Artemisinin inayotumika kote barani Afrika kutibu Malaria….
Nyumba ya Netanyahu yapigwa katika jaribio la kumua
Katika tukio la kutisha na la kuthubutu, kundi la Hezbollah limefanya shambulizi la ndege isiyo na rubani (drone) likilenga nyumba ya Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, iliyoko mji wa kaskazini wa Caesarea leo, Oktoba 19, 2024. Shambulizi hilo lilikuja…
Iran yasisitiza ahadi ya kuunga mkono Palestina
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei alisisitiza tena ahadi ya kuunga mkono Wapalestina kufuatia mauaji ya Yahya Sinwar, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas.q Katika taarifa yake juu ya X, Khamenei alisema “kupoteza kwa Yahya Sinwar ni chungu…
Ruto amteua Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais
Rais William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ajaye kufuatia kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limewasilishwa bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang’ula alitangaza uteuzi huo katika Kikao…
Kuna uwezekano wa kiongozi wa Hamas kuuawa -IDF
Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) na Shirika la ujasusi Shin Bet wamethibitisha uwezekano wa kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar, kuuawa katika shambulizi la hivi karibuni la anga lililofanywa Gaza. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israeli, uwezekano wa…
Onyo la Washngton kwa Israel latajwa kuwa na uzito tangu kuzuka kwa mapigano
Onyo la Washington limetajwa kuwa lenye uzito zaidi tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israeli na wapiganaji wa Hamas mwaka uliopita. Aidha onyo hilo pia limejiri baada ya Umoja wa Mataifa kufanya tathimini wikendi iliopita na kubaini kwamba hakuna misaada…