Category: Kimataifa
Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita
Urusi na Ukraine zimebadilishana mamia ya wafungwa wa kivita, imesema Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Katika makubaliano yaliyosimamiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu, Urusi imesema imetoa wanajeshi 150 wa Ukraine waliokuwa mateka kwa idadi sawa ya wanajeshi wa Urusi….
Netanyahu afanyiwa upasuaji wa tezi dume
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amefanyiwa upasuaji wa tezi dume . Upasuaji huo umekuja baada ya kugundulika alipata maambukizi kwenye njia ya mkojo. Kwa mujibu wa madaktari wanaoendelea kumtibu wamesema Waziri Mkuu Netanyahu anaendelea vizuri na matibabu. S Hatahivyo…
Chad yafanya uchaguzi baada ya miaka 3 ya utawala wa kijeshi
Raia wa Chad walipiga kura hapo jana katika uchaguzi mkuu ambao serikali imeusifu kuwa ni hatua muhimu ya mpito wa kisiasa, baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. Hata hivyo uchaguzi huo ulishuhudia idadi ndogo ya wapiga kura huku…
Watu 120 wafariki katika ajali ya ndege Korea Kusini
Ndege iliyokuwa imebeba abiria 181 imeanguka katika uwanja wa ndege kusini magharibi mwa Korea Kusini. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya 09:00 saa za eneo – 00:00 GMT – wakati ilipokuwa ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa…
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ‘limedungua’ ndege sita zisizo na rubani za Kamikaze za Jeshi la Rwanda katika mji wa Mambasa eneo la Lubero katika Mkoa wa Nord Kivu. Msemaji wa Jeshi Lt Kanali Mak Hazukay alisema waasi…
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Kituo cha Televisheni cha Palestina kimesema waandishi wa habari watano kutoka kituo hicho wameuawa katika shambulizi la Israeli katika Ukanda wa Gaza katikati. Walikuwa katika gari la Quds Today lililokuwa limeegeshwa nje ya hospitali ya al-Awda, ambapo mke wa mmoja…