JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini

Ofisi ya Kupambana na Ufisadi wa Maafisa wa Ngazi za Juu ya Korea Kusini imeliomba jeshi la polisi kuchukuwa jukumu la kumtia nguvuni rais aliyendolewa madarakani na bunge, Yoon Suk Yeol. Ombi hilo ni baada ya maafisa wake kushindwa kumuweka…

Kongo yawanyonga watu 102

Wizara ya sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema watu 102 wamenyongwa na wengine 70 wamepangiwa kupewa adhabu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya wizara hiyo iliyotolewa jana, watu hao, wanaume wenye umri wa baina ya miaka 18 na…

Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria

Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria, ambapo zaidi ya watu 100 wameuawa ndani ya masaa 48 yaliyopita. Taarifa iliyotolewa jana na Shirika la Haki za Binaadamu la Syria imesema…

Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine

Urusi imeapa siku ya Jumamosi kulipiza kisasi baada ya kuishutumu Ukraine kushambulia eneo la mpakani la Belgorod kwa kuvurumisha makombora ya masafa marefu ya ATACMS yaliyotolewa na Marekani. “Hatua hizi za serikali ya Kyiv, ambayo inaungwa mkono na washirika wa…

Afrika Mashariki kukumbwa na ukame

Kituo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Nchi za Jumuiya ya IGAD, kinasema kuwa eneo la Afrika Mashariki litapata hali ya ukame kuliko kawaida kati mwezi wa Januari na Machi 2025. Katika utabiri wake uliotolewa Jumatatu, kinasema Ethiopia, Uganda,…

Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine

Wizara ya Ulinzi ya Urusi inadai kuwa ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine zilidunguliwa katika maeneo sita ya Urusi usiku kucha, ikiwa ni pamoja na yale yaliyo mbali na mipaka ya Ukraine. Ujumbe mfupi kutoka kwenye mitandao ya kijamii…