Category: Kimataifa
Israel yaendeleza mashambulizi katika mji wa Beirut
ISRAEL imeendeleza na mashambulizi yake ya makombora kwenye eneo la kusini la mji mkuu wa Lebanon, Beirut, mapema leo likiwemo eneo lililo karibu na uwanja wa ndege wa pekee wa kimataifa wa Lebanon. Israel iliendeleza na mashambulizi yake ya makombora…
Trump hatakuwa katika Ikulu ya White House kwa siku 74
Wakati Donald Trump amepata ushindi unaomrejesha Ikulu ya White House, bado si rais rasmi – na itachukua zaidi ya miezi miwili kabla ya kurejea katika Ofisi ya Oval. Makabidhiano ya madaraka ya Marekani ni tofauti sana na jinsi mambo yanavyofanyika…
Viongozi mbalimbali duniani wampongeza Trump
Viongozi mbalimbali duniani wamempongeza mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump alipotangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa Rais wa Marekani. Miongoni mwa viongozi waliompongeza Donald Trump ni Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ambaye amesema ataendelea kushirikiana na Marekani kwa ukaribu,…
Mkuu wa Jeshi Nigeria afariki
Mkuu wa Jeshi la Nigeria Jenerali Taoreed Lagbaja amefariki dunia baada ya kuugua akiwa na umri wa miaka 56. Akitangaza kuhusu taarifa ya kifo cha Mkuu wa Jeshi la Nigeria, Jenerali Taoreed Lagbaja,Rais wa Nigeria Bola Tinubu amesema Jenerali Taoreed Lagbaja …
Trump ashinda uchaguzi Marekani
Mgombea wa Chama cha Republican nchini Marekani,Donald Trump ametangazwa kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani na kuahidi kuliponya taifa hilo. Matokeo ya uchaguzi yamemuweka mgombea huyo wa Republican kifua mbele dhidi ya mgombea wa Demokratic Kamala Harris . Akiwahutubia wafuasi…
Marekani imefuta deni dola bilioni 1 Somalia
Serikali ya Marekani imeamua kufuta deni la zaidi ya dola bilioni 1 ambazo zinadaiwa kwa serikali ya Somalia. Makubaliano ya kufuta deni hilo yalisainiwa kati ya Waziri wa Fedha wa Somalia Bihi Egeh na Balozi wa Marekani nchini Somalia Richard…