JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Obama : Trump kuzuia ufadhili wa Harvard si ‘halali’

Rais wa zamani Barack Obama anapongeza uamuzi wa Chuo Kikuu cha Harvard kukataa matakwa ya Ikulu ya White House ya kubadili sera zake au ikose ufadhili, katika ujumbe wake wa kwanza kwenye mtandao wa kijamii kukosoa utawala wa Trump tangu…

Wabelgiji washtakiwa Kenya kwa usafirishaji wa siafu

Vijana wawili raia wa Ubelgiji wameshtakiwa jijini Nairobi baada ya kukutwa na maelfu ya siafu, katika kile ambacho Kenya inasema ni sehemu ya mbinu ya usafirishaji haramu wa spishi ndogo zaidi na zisizojulikana sana. Vijana hao, Lornoy David na Seppe…

Biden akosoa ‘uharibifu’ wa Trump wa mashirika ya kijamii

RAIS wa zamani wa Marekani Joe Biden ameikosoa vikali serikali ya Donald Trump kwa kile alichokiita “uharibifu wa haraka” wa mashirika ya kijamii akisema hatua hiyo itaathiri zaidi ya Wamarekani milioni 65. Katika hotuba yake ya kwanza kubwa tangu aondoke…

WHO: Mazingira ya hospitali za Gaza ni duni na hayaelezeki

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa mazingira ndani ya hospitali ya Gaza ni ya kutamausha baada ya taasisi hiyo kushambuliwa kwa makombora na Israel. Msemaji wa WHO Dkt. Margaret Harris ameiambia BBC kuwa ukanda wa Gaza unashuhudia mashambulizi mara…

Urusi : Sio rahisi kufikia amani Ukraine na Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema kuwa sio rahisi kufikia makubaliano na Marekani kuhusu vipengele muhimu vya makubaliano ya amani yanayoweza kusitisha vita nchini Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye anasema anataka kukumbukwa kama mleta…

Marekani: Vifaa vya simu,elekroniki vyapandishwa ushuru

RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema  simu za mikononi  zilizotengenezwa na China na vifaa vingine vya kielektroniki havitaondolewa kwenye ushuru badala yake vimehamishiwa kwenye fungu tofauti la ushuru. Masoko ya hisa ya Ulaya yaliimarika kuanzia Jumatatu asubuhi baada ya tangazo…