Category: Kimataifa
Rasimu ya mwisho ya kusitisha vita vya Gaza yatolewa
Wapatanishi wa mzozo wa Israel na Hamas, ambao ni Marekani, Qatar na Misri wametoa rasimu ya mwisho ya makubaliano ya kuvimaliza vita huko Gaza leo Jumatatu. Hayo yamesemwa na maafisa kwa shirika la habari la Reuters. Mazungumzo hayo yaliozusha mjadala…
Idadi ya waliofariki kwa moto wa nyika Marekani yafikia 24
Idadi ya watu waliokufa kutokana na moto wa nyika ulioanza tangu Januari 7 huko Los Angeles Marekani imefikia 24. Mwishoni mwa juma wafanyakazi wa zimamoto walipata ahueni baada ya hali tulivu ya hewa. Mamlaka katika eneo hilo zimeonya kuwa moto…
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
MAELFU ya watu waliolazimika kuondoka katika makaazi yao kutokana na moto mkubwa mjini Los Angeles, Marekani hawatarejea kwenye makaazi yao kwa angalau siku nne zijazo. Mkuu wa kikosi cha zima moto wa Los Angeles Anthony Marrone amesema upepo mkali unaovuma…
Kisiwa cha Mayotte kukabiliwa na kimbunga kipya Jumamosi
Kimbunga Chido kilisababisha uharibifu mkubwa, na kuua watu wasiopungua 39 na kujeruhi wengine zaidi ya 5,600 katika kisiwa hicho ambacho kinakaliwa na Ufaransa mashariki mwa Afrika. Wakazi wa kisiwa cha Mayotte wanajiandaa kwa dhoruba ya upepo mkali na mvua kubwa…
Watu 21 wauawa katika shambulizi la genge nchini Nigeria
MSEMAJI wa Polisi ya Nigeria, Abubakar Sadiq Aliyu, amesema msafara wa wanamgambo wa serikali ulishambuliwa kwa bunduki na majambazi huko Baure, kijiji katika wilaya ya Safana. Wanamgambo wapatao 21 wanaoiunga mkono serikali ya Nigeria wameuawa katika shambulizi la kuvizia na…
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Moto wa nyika ambao umekuwa vigumu kudhibitiwa unateketeza sehemu za Los Angeles, na kusababisha vifo vya takriban watu watano, kuharibu mamia ya majumba, na kulazimisha zaidi ya watu 130,000 kukimbia kutoka majumbani mwao katika jiji la pili kwa ukubwa Marekani….