JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Israel yafanya mashambulizi katika wilaya moja Damascus

Vyombo vya habari vya umma nchini Syria vimeripoti kuwa Israel imefanya mashambulizi katika wilaya moja ya Mazzeh iliyoko katika mji mkuu wa Damascus siku ya Ijumaa. Vyombo vya habari vya umma nchini Syria vimeripoti kuwa Israel imefanya mashambulizi katika wilaya…

Israel yashambulia mji wa Damascus

Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kuwa takribani watu 15 waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye majengo mawili ya makazi magharibi mwa Damascus. Kwa mujibu wa ripoti hii, moja ya majengo hayo yapo katika kitongoji…

Jeshi la Israel latangaza kuuawa kwa wanajeshi wake sita

JESHI la Israel lilitangaza siku ya Jumatano kuwa wanajeshi wake sita waliuawa katika mapigano kusini mwa Lebanon. Hii inaleta idadi ya wanajeshi waliouawa katika vita na Hezbollah tangu kuanza kwa mashambulizi ya ardhini kwenye ardhi ya Lebanon mnamo Septemba 30…

Biden amkaribisha Trump Ikulu ya White House

Rais mteule wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alifika Ikulu ya White House kwa mara ya kwanza tangu aliposhinda uchaguzi wa wiki iliyopita. Mazungumzo yao yalidumu kwa muda wa saa mbili. Trump na Rais Joe Biden anayemaliza muda wake, ambao…

Rais mteule wa Marekani atembelea White House, akutana na Biden

Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump, alitembelea White House kwa mara ya kwanza baada ya miaka minne kukutana na Rais Joe Biden, hatua iliyolenga kuonyesha makabidhiano ya amani ya madaraka yatakayofanyika Januari 20. Ziara hii inaashiria hatua muhimu katika demokrasia ya…

Balozi wa Marekani nchini Kenya ajiuzulu

Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu kwake, hatua aliyowasilisha kwa Rais Joe Biden na kuwafahamisha wafanyakazi wa ubalozi huo Jumatano, Novemba 13, 2024. Whitman alieleza kuwa amefurahia nafasi yake katika kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Kenya,…