Category: Kimataifa
Mapigano yaanza tena mjini Goma, Mashariki mwa DRC
Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umekuwa ukikumbwa na hali ya taharuki na wasiwasi mkubwa baada ya kundi la waasi la M23, linaloripotiwa kupata msaada wa kijeshi kutoka Rwanda, kuingia katika mji huo….
Congo kuimarisha usalama Goma
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya waasi wa M23 kudai kwamba wameuteka mji huo. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya aliwataka watu…
UN kujadili hali ilivyo DRC
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema kikao cha pili cha Baraza la Usalama la ()UN kitafanyika kujadili mgogoro unaoendelea katika mkoa wake wa mashariki. Mkutano mpya ulioitishwa na viongozi wa Kongo unafuatia mapigano ya kundi la waasi la M23 huko…
Mpaka wa Kongo-Rwanda wafungwa baada ya M23 kuiteka Goma
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo. Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea. Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Ukraine yaishambulia Urusi kwa droni 121
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema usiku wa kuamkia Ijumaa imefanikiwa kudhibiti mashumbulizi ya droni za Ukraine ambapo imezidungua na kuziteketeza droni 121 ambazo zilikusudiwa kuilenga mikoa 13, ikiwemo Moscow. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema usiku wa kuamkia Ijumaa…
SADC yalaani mauaji ya vikosi vyake yaliyotekelezwa na M23
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) inalaani mauaji ya vikosi vyake yaliyotekelezwa na M23 mashariki mwa DRC, na kutaja mashambulizi hayo kama “kitendo cha uchokozi.” “Kutafuta upanuzi wa eneo kwa M23 kunafanya hali ya kibinadamu na usalama kuwa…