Category: Kimataifa
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Shirika la Posta la Marekani limesema limeacha kupokea mizigo kutoka China bara na Hong Kong kwa muda usiojulikana. Huduma ya barua haitaathiriwa na usitishaji huo, ilisema shirika hilo, ambalo lilikataa kutoa sababu ya uamuzi huo. Hata hivyo, mnamo Jumanne sheria…
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia, urithi wake utadumu milele
Dunia imepata pigo kubwa kufuatia taarifa za kifo cha Mtukufu Aga Khan IV, Karim Al-Hussaini, aliyefariki Februari 4, 2025, jijini Lisbon, Ureno, akiwa na umri wa miaka 88. Aga Khan IV alikuwa kiongozi wa 49 wa madhehebu ya Shia Ismailia,…
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Rais wa Marekani, Donald Trump, na Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu, wamefanya mkutano wa waandishi wa habari ambapo Trump ametoa pendekezo kwamba Marekani “ichukue udhibiti” wa Gaza, na kuwahamisha watu milioni 1.8 wa Gaza kwenda nchi nyingine za Kiarabu. Trump…
Trump akiri kutokuwepo kwa amani ya kudumu Israel, Hamas
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema hana uhakika na kuwepo kwa amani ya kudumu kati ya Israel na Hamas licha ya kuwa sehemu ya mpango wa kusitisha mapigano uliowezesha kuachiwa kwa mateka ambapo akizungumza kabla ya mkutano wake na Waziri…
M23 watangaza kusitisha mapigano kupisha misaada ya kiutu
WAASI wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza usitishaji wa mapigano kuanzia Jumanne huko mashariki mwa Kongo kwasababu za kiutu. Haya yanafuatia miito ya njia salama ya misaada kutolewa kwa maelfu ya watu walioachwa bila makao. Tangazo hilo la…
Shabiki wa soka achomwa kisu hadi kufa wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Ghana
Shabiki maarufu wa mpira wa miguu amechomwa kisu hadi kufa wakati wa mechi ya ligi nchini Ghana siku ya Jumapili. Mchezo huo ulikuwa kati ya moja ya klabu zenye wasomi na mafanikio makubwa nchini – Kumasi Asante kotoko na neigbours…