Category: Kimataifa
Mashambulizi ya Urusi yaua watu 25 Ukraine
TAKRIBAN watu 25 wamefariki nchini Ukraine katika wimbi la hivi punde la mashambulizi ya Urusi, maafisa wa Ukraine wanasema, huku mzozo huo ukiwa hauonyeshi dalili zozote za kurudi nyuma. Shambulio moja katika Mkoa wa Donetsk liliua takriban watu 11 na…
Rais Ruto, Odinga watia saini mkataba wa kisiasa kwa ajili ya umoja wa taifa
Rais wa Kenya, William Ruto, na Kiongozi wa Upinzani, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, wametia saini rasmi mkataba wa kisiasa unaoashiria juhudi mpya za kushirikiana katika uongozi wa serikali moja. Mkataba huo, ambao umeunganisha chama tawala cha United Democratic…
Urusi imeshambulia Ukraine usiku kucha
Takriban watu wanane wameuawa katika mfululizo wa mashambulizi ya usiku yaliyofanywa na Urusi kote nchini Ukraine. Haya ndio tunayojua kufikia sasa:
Ufaransa kuipatia Ukraine silaha za nyuklia?
RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema atajadiliana na viongozi wenzake wa Umoja wa Ulaya juu ya kuruhusu kutumiwa silaha zake za Nyuklia kuisadia Ukraine. Katika hotuba yake jana kwa taifa kiongozi Macron pia alizungumzia uwezekano wa kupelekwa wanajeshi wa mataifa…
Urusi yaipongeza Ukraine utayari kumaliza vita
Serikali ya Urusi imeipongeza taarifa ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kuhusu utayari wake wa kuzungumza na Urusi ili kumaliza vita kati ya mataifa hayo mawili. Hata hivyo, Urusi imesema haijajua bado itazungumza na nani kuhusu mchakato huo. Kauli ya…
Canada yaiwekea vikwazo Rwanda
Serikali ya Canada imetangaza vikwazo vya kiuchumi na kisiasa dhidi ya Rwanda, ikisema vikosi vyake vinasaidia kundi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Canada ilikosoa mauaji na mashambulizi dhidi ya raia, wakimbizi, na vikosi vya Umoja wa…