JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Njama ya mauaji ya Papa ilitibuliwa na ujasusi wa Uingereza

Njama ya kumuua Papa Francis wakati wa safari yake nchini Iraq ilizuiwa kufuatia taarifa kutoka kwa vyombo vya habari vya Uingereza, kulingana na wasifu wake ujao. Papa anasema kwamba, baada ya kutua Baghdad mnamo Machi 2021, aliambiwa kuhusu tukio ambalo…

Trump ashtaki gazeti kwa ‘kuingilia uchaguzi’

Rais mteule Donald Trump ameshtaki gazeti la Des Moines Register, pamoja na kampuni yake mama kwa kuingilia kati uchaguzi juu ya kura ya maoni iliyochapishwa siku chache kabla ya uchaguzi wa rais wa 2024. Kura ya maoni ya Novemba 2…

Mke, mume wafungwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya mtoto

Mahakama moja ya Uingereza imetoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa baba na mama wa kambo wa mtoto wa miaka 10 raia wa Uingereza mwenye asili ya Kipakistani aliyekufa baada ya kuteswa kwa muda mrefu. Urfan Sharif, mwenye umri wa…

Jaji akataa hoja ya Trump ya kutaka atupilie mbali kesi aliyopatikana na hatia

Jaji wa mahakama ya New York ameamua kuwa hatia aliyopatikana nayo Donald Trump katika kesi ya kutoa pesa za kutunza siri ni halali, amekataa hoja ya rais mteule kwamba hatia hiyo inapaswa kutupiliwa mbali kutokana na uamuzi wa Mahakama ya…

Trump aahidi tena kumaliza “mauaji” ya vita vya Ukraine

Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema atafanya mazungumzo na viongozi wa Ukraine na Urusi kumaliza alichokitaja kuwa “umwagaji damu usiomithilika” kutokana na vita vya karibu miaka mitatu baina ya nchi hizo mbili. Akizungumza kwa mara ya kwanza na waandishi…

Wawili wauawa kwa kupigwa risasi na mwanafunzi Marekani

Mwanafunzi mmoja amefyatua risasi katika shule ya binafsi ya Kikristo katika Jimbo la Wisconsin Marekani, na kujeruhi watu sita na kumuua mwalimu na mwanafunzi. Mkuu wa Polisi wa Madison Shon Barnes alimtaja mshambuliaji huyo kuwa mwanafunzi wa kike mwenye umri…