Category: Kimataifa
Ukraine yapokea miili ya wanajeshi 563
Serikali ya Ukraine imethibisha kupokea miili ya wanajeshi 563 kutoka kwa mamlaka ya Urusi ambao wengi wao ni wanajeshi waliouawa katika mapigano katika eneo la mashariki la Donetsk. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa hii leo imesema kuwa miili mingine…
Hezbollah kulipiza mashambulizi
Hezbollah imetangaza kurusha makombora katika kambi ya Jeshi la Wanamaji la Israel na uwanja wa ndege wa kijeshi karibu na mji wa Haifa kwa mara ya pili katika muda wa chini ya saa 24, huku kukiwa na makabiliano ya wazi…
Mgogoro wa Kisiasa Ujerumani; Scholz amfukuza Kazi Waziri wa Fedha na kuvunja muungano
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, amefukuza kazi Waziri wake wa Fedha, Christian Lindner, katika hatua inayolenga kumaliza mgawanyiko wa ndani lakini ambayo imezua mzozo wa kisiasa nchini. Hatua hii imefanya muungano uliokuwa unaiongoza serikali kuvunjika rasmi, huku chama cha kiliberali…
Israel yaendeleza mashambulizi katika mji wa Beirut
ISRAEL imeendeleza na mashambulizi yake ya makombora kwenye eneo la kusini la mji mkuu wa Lebanon, Beirut, mapema leo likiwemo eneo lililo karibu na uwanja wa ndege wa pekee wa kimataifa wa Lebanon. Israel iliendeleza na mashambulizi yake ya makombora…
Trump hatakuwa katika Ikulu ya White House kwa siku 74
Wakati Donald Trump amepata ushindi unaomrejesha Ikulu ya White House, bado si rais rasmi – na itachukua zaidi ya miezi miwili kabla ya kurejea katika Ofisi ya Oval. Makabidhiano ya madaraka ya Marekani ni tofauti sana na jinsi mambo yanavyofanyika…
Viongozi mbalimbali duniani wampongeza Trump
Viongozi mbalimbali duniani wamempongeza mgombea wa Chama cha Republican, Donald Trump alipotangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa Rais wa Marekani. Miongoni mwa viongozi waliompongeza Donald Trump ni Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ambaye amesema ataendelea kushirikiana na Marekani kwa ukaribu,…