Category: Kimataifa
Rwanda yapeleka msaada wa kibinadamu Gaza
Serikali ya Rwanda imepeleka shehena ya misaada ya kibinadamu zaidi ya tani 19 za chakula,vyakula vya watoto, dawa na vifaa vya matibabu kusaidia wananchi wa Gaza. “Rwanda itaunga mkono jitihada za kimataifa katika kutoa misaada ya kibinadamu kwa wananchi wa…
UN yaanza kuchunguza uhalifu wa kivita Darfur
Jopo la wataalamu lililoundwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewasili nchini Sudan kuchunguza madai ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Jeshi la wanamgambo wa (RSF) katika eneo la magharibi la Darfur. Timu hiyo iliwasili katika mji wa…
Pakistan: Zaidi ya watu 17 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni
Watu zaidi ya 17 wameuawa katika mlipuko kwenye kituo cha treni katika wilaya Balochistan nchini Pakistan wakiwemo wanajeshi 14 , mamia ya wengine wakiripotiwa kujeruhiwa kwa mujibu wa taarifa ya polisi. Mamlaka imeliambia Shirika la Habari la AFP kwamba huenda…
Moscow yalengwa huku Ukraine na Urusi zikishambuliana kwa ndege zisizo na rubani
Huku vita vya Urusi na Ukraine vikiingia awamu mpya ya mashambulizi makubwa ya ndege zisizo na rubani, kila upande umeendesha mashambulizi makubwa zaidi tangu kuanza kwa mzozo huo. Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema ilifanikiwa kudhibiti ndege 84 za Ukraine…
Donald Tusk kukutana na wenzake wa Ulaya kuijadili Ukraine
Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk, atakutana na baadhi ya viongozi wa Ulaya kuzungumzia ushirikiano wa kimaeneo pamoja na vita vya Ukraine. Tusk, atakutana na Emmanuel Macron wa Ufaransa, Waziri Mkuu wa Uingereza Kier Starmer, Kiongozi wa Jumuiya ya kujihami…
Qatar yasitisha jukumu la kuwa mpatanishi wa Israel na Hamas
Qatar imesitisha jukumu la kuwa mpatanishi katika mazungumzo ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka kati ya Israel na Hamas, maafisa wanasema. Nchi hiyo ilisema itaanza tena kazi yake wakati Hamas na Israel “zitaonesha nia ” ya kufanya mazungumzo. Haya yanajiri…