JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza

Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza, wakiwemo maafisa wawili wa ngazi ya juu katika jeshi la polisi linaloongozwa na Hamas. Mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu wasiopungua 26 katika Ukanda wa Gaza,…

Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta

Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai. Uganda inatarajiwa kuzindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza mwezi Julai….

Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo

WATU wasiopungua 12 wameauwa katika mashambulizi mapya ya waasi wa kundi la ADF lenye mafungamno na kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS. Watu wasiopungua 12 wameauwa katika mashambulizi mapya ya waasi wa kundi la ADF lenye mafungamno na kundi linalojiita…

Waziri Israel atishia kuzidisha mashambulizi Ukanda wa Gaza

Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameapa kuzidisha mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza ikiwa kundi la wanamgambo wa Hamas halitoacha kurusha maroketi kuelekea Israel. Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameapa kuzidisha mashambulizi ya Israel katika…

Askari 23 wakabiliwa na adhabu ya kifo kwa kuliasi jeshi

Kiasi ya wanajeshi 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na adhabu ya kifo au vifungo vya miaka 10 hadi 20 jela. Ni baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashitaka ya ubakaji, kuasi jeshi na uhalifu mwingine. Msemaji wa Jeshi…

Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita

Urusi na Ukraine zimebadilishana mamia ya wafungwa wa kivita, imesema Wizara ya Ulinzi ya Urusi. Katika makubaliano yaliyosimamiwa na Umoja wa Falme za Kiarabu, Urusi imesema imetoa wanajeshi 150 wa Ukraine waliokuwa mateka kwa idadi sawa ya wanajeshi wa Urusi….