JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Rais Tserese Khama Ian Khama nguzo ya mafanikio ya Botswana

Na Mkinga Mkinga Aliyekuwa Gaborone, Botswana. Kusini mwa jangwa la Sahara, pamezoeleka kuwa na majangwa kadhaa, ukienda nchini Namibia, utakutana na jangwa la Namib ambalo linakwenda kuungana na jangwa jingine la Kalahari, lililoko nchini Botswana. Nimepata fursa ya ‘kupita’ Botswana…

Watu 10 wauawa kwa kugongwa na gari la mizigo Canada

Watu tisa wameuawa mjini Toronto, nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika mtaa wenye watu wengi. Wengine 16 wamejeruhiwa pia. Mashuhuda wanasema kuwa dereva huyo aliendelea kuliendesha gari takribani umbali wa kilomita moja hivi. Diego de…

Trump Atishia Kujiondoa Kwenye Mazngumzo na Kim Jong-un

Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa iwapo mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un hayazai matunda ‘atainuka na kuondoka katika mazungumzo hayo’. Katika mkutano wa pamoja na vyombo vya habari, yeye na waziri mkuu wa Japan…

Wanasayansi Kenya wagundua dawa inayoangamiza mbu anayesababisha Malaria

Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wanatarajiwa kufanya kikao maalum kujadili jinsi ya kufadhili utafiti na matibabu ya ugonjwa wa malaria.Haya yanajiri wakati wanasayansi duniani wakiendelea na kikao cha kujadili hatua dhidi ya Malaria Dakar,Senegal. Huko Kenya wanasayansi…

Mke wa Rais wa 41 wa Marekani afariki dunia

Mke wa Rais wa 41 wa Marekani, George HW Bush na maa wa Rais wa 43 wa nchi hiyo George W Bush amefariki dunia akiwa na umri wa miaka. Barbara Bush, ambaye mume wake amekuwa rais tokea mwaka 1989 to…

Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS

Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa…