Category: Kimataifa
Takriban watu 34 wameuawa shambulizi la Israel kaskazini mwa Gaza
Mashambulizi ya anga ya Israel kwenye jengo la ghorofa tano la makazi huko Beit Lahia kaskazini mwa Gaza yamesababisha vifo vya takriban watu 34, shirika la ulinzi wa raia la eneo hilo linasema. Shirika hilo, lililonukuliwa na AFP, lilisema wengi…
Zelensky kumaliza vita kwa diplomasia
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kuwa angetamani vita na Urusi vimalizike mwaka ujao kwa njia za kidiplomasia, hasa wakati nchi zote mbili zikijiandaa kwa Donald Trump kurejea Ikulu. Matarajio ya Trump kurejea madarakani yameibua maswali kuhusu hatma ya mzozo…
Israel yafanya mashambulizi katika wilaya moja Damascus
Vyombo vya habari vya umma nchini Syria vimeripoti kuwa Israel imefanya mashambulizi katika wilaya moja ya Mazzeh iliyoko katika mji mkuu wa Damascus siku ya Ijumaa. Vyombo vya habari vya umma nchini Syria vimeripoti kuwa Israel imefanya mashambulizi katika wilaya…
Israel yashambulia mji wa Damascus
Shirika la habari la serikali ya Syria linasema kuwa takribani watu 15 waliuawa wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye majengo mawili ya makazi magharibi mwa Damascus. Kwa mujibu wa ripoti hii, moja ya majengo hayo yapo katika kitongoji…
Jeshi la Israel latangaza kuuawa kwa wanajeshi wake sita
JESHI la Israel lilitangaza siku ya Jumatano kuwa wanajeshi wake sita waliuawa katika mapigano kusini mwa Lebanon. Hii inaleta idadi ya wanajeshi waliouawa katika vita na Hezbollah tangu kuanza kwa mashambulizi ya ardhini kwenye ardhi ya Lebanon mnamo Septemba 30…
Biden amkaribisha Trump Ikulu ya White House
Rais mteule wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alifika Ikulu ya White House kwa mara ya kwanza tangu aliposhinda uchaguzi wa wiki iliyopita. Mazungumzo yao yalidumu kwa muda wa saa mbili. Trump na Rais Joe Biden anayemaliza muda wake, ambao…