Category: Kimataifa
Trump akubali Kukutana na Kim Jong
Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu…
Urusi yalaumiwa
Marekani imeishutumu Urusi kwa kukiuka hadharani mikataba iliyoafikiwa katika enzi za Vita Baridi, kwa kuunda kile Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alichokitaja kuwa kizazi kipya cha silaha madhubuti. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeghadhabishwa na tamko la Putin…
Wahamiaji waandamana Israel
Mamia ya wahamiaji wa Kiafrika waishio nchini Israel wameandamana huku wakiendelea na mgomo wa kutokula wakipinga sera mpya ya Israel yenye utata ya kutaka ama kuwafunga na kisha kuwarejesha makwao. Wahamiaji hao walitembea umbali mfupi kutoka kituo cha wazi cha…
WACHUNGAJI 6 WA MAKANISA RWANDA WAKAMATWA NA POLISI
Polisi nchini Rwanda imetangaza kuwatia kizuizini wachungaji 6 na viongozi wa makanisa kutoka baadhi ya makanisa yaliyofungwa kwa amri ya serikali ya nchi hiyo. Wiki iliyopita serikali ya nchi hiyo iliamrisha kufungwa kwa makanisa zaidi ya 700 kwa madai…
BENJAMIN NYETANYAHU AKUTANA NA TRUMP KUJADILI TISHIO LA IRAN
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu yuko mjini Washington kukutana na Rais Donald Trump kutafuta njia za kuzuia jeshi la Iran kuongeza himaya yake Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo yamekuja wakati Trump anajaribu kupima iwapo ni busara kwa Marekani kujiondosha…
BAADHI YA WAUGANDA WAMKOSOA RAIS MUSEVENI KWA HATUA ALIYOICHUKUA, YA KUWAFUKUZA IGP NA WAZIRI WA ULINZI
Habari za kufukuzwa kazi Jenerali Kale Kayihura katika nafasi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Luteni Jenerali HenryTumukunde kama waziri wa ulinzi zimepokelewa kwa hisia tofauti na wasomaji wa mitandao nchini Uganda. Wengi wa wachangiaji katika mitandao ya jamii…