Category: Kimataifa
ADHANA IMEPIGWA MARUFUKU KIGALI RWANDA, INASUMBUA WANANCHI
Marufuku ya matumizi ya adhana{ Wito kwa Waislamu kuhudhuria maombi} katika tarafa moja ya mji wa Kigali nchini Rwanda imepingwa vikali na baadhi ya Waislamu jijini humo. Utawala katika tarafa ya Nyarugenge kunakopatikana jamii kubwa ya Waislam nchini humo umebainisha…
UNAJUA USAFIRI ANAOTUMIA RAIS DONALD TRUMP AKIWA MATEMBEZINI
Rais wa Marekani Donald Trump akiwa katika mazingira ya kawaida ya kikazi hutembelea gari aina ya limousine. Gari hiyo ni moja kati ya magari ghali zaidi na yenye ulinzi mkali zaidi duniani kote ulinzi wake ni pamoja na vioo vyenye…
DONALD TRUMPA AMTIMUA WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA MAREKANI TILLEROIN
Rais Donald Trump amemfukuza kazi waziri wake wa mambo ya nchi za nje Rex Tillerson na kumchagua mkurugenzi wa idara ya ujasusi ya CIA, Mike Pompeo kuchua nafasi yake. Nafasi ya Pompeo katika CIA itachukuliwa na aliyekua naibu wake Gina…
Tillerson awapongeza Kenyatta, Raila
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Monica Juma. Tillerson alipongeza hatua ya rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ya kukutana na kufanya…
Tillerson aahidi kuendeleza uhusiano wa Marekani – Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ameahidi kwa mara nyingine mshikamano wa Marekani na nchi za Afrika, katika juhudi za kufuta kauli ya utata iliotolewa na Rais Donald Trump ikilikashifu bara hilo. Mkutano wa mwanadiplomasia wa ngazi…
Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha
Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi…