Category: Kimataifa
BALOZI WA VENEZUELA ATIMULIWA CANADA
Canada imetangaza kumfukuza balozi wa Venezuela Wilmer Barrientos Fernández Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Chrystia Freeland alisema hatua hiyo ni jibu kwa kufukuzwa kwa mwanadiplomasia wake wa cheo cha juu kutoka Venezuela mwishoni mwa wiki. Venezuela iliilaumu Canada…
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Apata Ajali ya Gari
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa. Yeye bado na watoto wawili bado wako hospital ya Wilaya Kiomboi ambapo mtoto…
Catalonia Yashinda Uchaguzi ya Kutaka Kujitoa na Uhispania
Vyama vinavyounga mkono jimbo la Catalonia kujitenga na Uhispania vimeshinda uchaguzi wa jimbo la Catalonia. Ikiwa kura zote zinakaribia kukamillika kuhesabiwa Katika rekodi ya wapiga idadi ya wapiga kura ambao wamejitokeza vyama hivyo vinaonekana kushinda jambo kimepunguza kidogo idadi ya…
Rais wa Ujerumani Ahimiza Ujenzi Taasisi Imara
Rais wa Ujerumani, Frank- Walter Steinmeir, amehitimisha ziara yake katika bara la Afrika kwa kuhimiza masuala ya demokrasia na maendeleo ya kiuchumi. Katika ziara yake hiyo, Rais Steinmeir amehimiza uimarishwaji vita dhidi ya ufisadi na mapambano imara juu ya uhamiaji unaoendelea…
Marekani Kufufua Mazungumzo Kati ya Israel na Palestina
Ikulu ya Marekani inatarajia kuanzisha upya juhudi za kufikiwa kwa makubaliano ya amani kati ya Israel na Palestina, licha ya uamuzi wa Rais Donald Trump kuitambua Jerusalem kuwa Mji Mkuu wa Israel. Mpango huo wa Marekani unatarajiwa kuja baada ya…
UN Yakutana Kumjadili Trump
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeombwa kuitisha mkutano wa dharura kujadili hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kuuhamisha Ubalozi wa Marekani kutoka Telaviv hadi Jerusalem. Maamuzi hayo yalisababisha maandamano makubwa yaliyosababisha watu 17 kujeruhiwa kwa risasi na…