Category: Kimataifa
UMOJA WA MATAIFA WALAANI MAUAJI YA RAIA YANAYOFANYWA NA MAJESHI YA SAUDI ARABIA NA WASHIRIKA WAKE NCHINI YEMEN
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo 54 katika soko lenye shughuli nyingi na 14 wa familia moja waliokuwa shambani. Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa…
Robert Mugabe Kupewa Stahiki Zake Kama Rais Mstaafu
Serikali ya Zimbabwe imeeleza kuwa itampa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Robert Mugabe nyumba ya kuishi, magari pamoja na ndege binafsi ya kusafiria ikiwa ni sehemu ya stahiki wanazopatiwa watumishi wa serikali waliostaafu. Pamoja na hayo, pia atapewa watumishi 20,…
BREAKING: George Weah Ashinda Kiti cha Urais
Mwanasoka bora wa Dunia mwaka 1996, George Weah ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia baada ya kukamilika kwa duru ya pili ya uchaguzi.
Krisimasi Ilikuwa Chungu kwa Waasi ADF, Wachapwa Kutokea Uganda
Jeshi la Wananchi la Uganda (UPDF) limewashambulia waasi wa kikundi cha Allied Democratic Forces (ADF) cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). ADF wanahusishwa na shambulizi la Desemba 7, mwaka huu lililofanyika kwenye kambi ya askari hao ya Simulike, Mashariki…
Hali ni Tete Sudan Kusini
Tangu serikali ya Sudan Kusini kuikamata kambi ya waasi Kusini Magharibi mwa nchi hiyo wiki iliyopita, mamia ya wakimbizi wameendelea kukimbilia nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Miongoni mwao huenda wamo waasi, na jeshi la Kongo ambalo linahofia…
Wabunge Walaani Kuchomwa kwa Nyumba ya Kabila
Wabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumatatu walilaani kitendo cha kuchomwa kwa nyumba ya rais Joseph Kabila. Katika taarifa ya pamoja, wabunge hao walikiita kitendo hicho kuwa cha kinyama na kutoa wito kwa raia kuotojihusisha na vitendo ambavyo vingechangia…