JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

KOREA KASKAZINI NA KOREA KUSINI ZAANZA MAZUNGUMZO

Mkutano huo unaofanyika katika kijiji cha Panmunjom ambapo mazungumzo yao yanahusu uwezekano wa Korea Kaskazini kushiriki katika mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi yatakayofanyika Korea Kusini mwezi wa pili. Waziri wa muungano wa Korea Kusini , Cho Myoung-Gyon amesema…

Jumba la Trump New York Lawaka Moto

Maafisa wa kuzima moto wameitwa katika jumba la Trump Tower katika kisiwa cha Manhattan jijini New York kuzima moto uliokuwa umezuka kwenye ghorofa ya juu ya jengo hilo. Idara ya kuzima moto ya New York imesema moto huo ulidhibitiwa na…

Mauaji Yaongezeka Yemen

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo watu 14  wa familia moja na kuacha simanzi kubwa katika familia hiyo. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini…

KOREA KASKAZINI YAFUNGUA MAWASILIANO YA SIMU NA KOREA KUSINI

Korea Kaskazini imefungua tena mawasiliano ya simu na Korea Kusini ili kuanzisha mazungumzo kuhusu kushiriki kwake katika mashindano ya msimu wa baridi. Korea Kusini imethibitisha kuwa ilipata simu kutoka Kaskazini leo Jumatano. Hii ni baada ya Kim Jong un kusema…

Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau Ajitokeza Tena

Kiongozi wa kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau, ameonekana kwenye video mpya karibu saa ishirini na nne baada ya Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kwa mara ingine kutamka hadharani kuwa kikundi hicho kimesambaratishwa. Huu ni mkanda wa video…

AJALI: WATU 34 WAUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA KENYA

Habari kutoka Kenya zasema kuwa watu 34 wamefariki katika ajali nyingine mbaya ya barabani, iliyotokea mapema Jumapili asubuhi. Watu 16 wamejeruhiwa wengi wao wakiwa katika hali mahututi, baada ya Basi moja la abiria kugongana ana kwa ana na lori la…