Category: Kimataifa
RAIS WA MALI AMTAKA ALIYEMWOKOA MTOTO UFARANSA ARUDI NYUMBANI
RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amemtaka kijana shujaa, mhamiaji kutoka nchini kwake, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto mdogo aliyekuwa amening’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo refu jijini Paris, Ufaransa arudi nyumbani kwani amemwandalia kazi Jeshini. Balozi wa…
Mugabe Agoma Kwenda Bungeni Kuhojiwa
RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe, amepuuza wito wa Bunge la nchi hiyo likimtaka afike mbele ya kamati yake inayochunguza mapato ya almasi. Mbunge anayeongoza kamati ya madini na nishati amesema Mugabe alikuwa amebakiwa na fursa moja tu…
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich apata uraia Israel
Bilionea wa Urusi ambaye ni mmiliki wa klabu ya soka ya Chelsea ya England Roman Abramovich, amesafiri kwa ndege hadi Tel Aviv baada ya kupata haki ya uraia wa Israel. Maafisa wa uhamiaji wamesema kuwa alihojiwa wiki iliyopita kwenye ubalozi…
Mhamiaji wa Mali Apongezwa kumuokoa Mtoto Ghorofani
Mhamiaji wa Mali amepongezwa kama shujaa baada ya kukwea sehemu ya mbele ya jengo la ghorofa mjini Paris kumuokoa mtoto aliekuwa kwenye uzio wa ubaraza wa ghorofa ya nne kwenye jengo refu. Video ya Mamoudou Gassam akimuokoa mtoto ilisambaa sana…
Viongozi wa Korea wafanya mkutano wa ghafla
Viongozi wa Korea Kaskazini na Kusini wamekutana eneo lenye ulinzi mkali kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huo ndio wa pili kati ya rais wa Korea Kusini Moon Jae-in na kiongozi wa Korea Kusini Kim Jong-un. Unafanyika wakati pande…
Sheria mpya ya kulinda faragha yazinduliwa Ulaya
Sheria mpya ya kulinda faragha ya mtu Ulaya imeanza kutekelezwa leo Ijumaa, ikisimamia zama zinazo kusudia kulinda faragha ya raia na kurekebisha jinsi makampuni yanavyo kusanya, kutumia na kuhifadhi taarifa zao. Sheria hiyo mpya inaanza kutumika wakati ambapo kampuni kubwa…