JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Watu 50 wakiwemo watoto 7 wapoteza maisha Kenya

Watu wasio pungua 50 wameuwawa baada ya basi kuacha njia na kupinduka katika mteremko mkali na kugonga magharibi mwa Kenya, afisa mmoja wa usalama amesema Jumatano. Ajali hiyo imetokea saa kumi alfajiri na katika ya wale waliopoteza maisha saba ni…

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley ajiuzulu

Balozi wa marekani kwenye Umoja wa mataifa Nikki Haley ametangaza kujiuzulu. “Imekuwa ni heshima ya maisha” alisema Nikki Hailey akiwa na Rais Donald Trump huko White house alipotangaza kujiuzulu nafasi yake huku akiongeza kwamba haondoki mpaka mwisho wa mwaka. “Tutakukumbuka…

Uingereza imeitaka Saudia kutoa maelezo ya kina juu ya kupotea kwa Mwandishi

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza amesema kuwa taifa lake linatarajia majibu ya msingi kutokana na kupotea kwa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi ambaye mara ya mwisho alikuwa katika ubalozi wa Saudi nchini Uturuk Katika mazungumzo yake kwa njia…

Kimbunga Michael kuyakumba majimbo matatu Marekani

Takriban watu nusu milioni wanatakiwa kuondoka haraka katika makazi yao eneo la kusini mashariki mwa Marekani ili kukupisha kimbunga Michael ambacho kinakaribia kulikumba eneo hilo. Taarifa za watabiri wa hali ya hewa zinasema kimbuka hicho kwa sasa kimekwisha ingia katika…

Rais Korea Kusini afungwa kwa rushwa

Seoul, Korea Kusini Rais mstaafu wa Korea Kusini, Lee Myung-bak, amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela pamoja na faini ya dola za Marekani milioni 11.5 (sawa na zaidi ya Sh bilioni 25) kutokana na kukutwa na hatia ya makosa kadhaa…

Rais Recep Tayyip Erdogan aihoji Saudia kutoweka kwa Mwandishi

Rais wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan ameitaka Saudia kutoa ushahidi kuhusiana na mwandishi wa habari aliyepotea kwamba alitoka nje ya majengo ya ubalozi wao mjini Istanbul. Mwandishi huyo raia wa Saudia Jamal Khashoggi kwa mara ya mwisho alionekana katika jengo…