Category: Kimataifa
Watu 70 waungua moto
Mexico Bomba la mafuta nchini Mexico limelipuka na kuua watu zaidi ya 70 huku wengine 71 wakijeruhiwa vibaya baada ya watu wasiofahamika kutoboa bomba hilo kwa nia ya kuiba mafuta. Katika mji wa Tlahuelilpan, Jimbo la Hidalgo, mwishoni mwa wiki…
Mwandishi auawa ubalozini
Mwanahabari, Jamal Khashoggi, aliuawa katika vita katika Ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul, runinga ya taifa hilo imesema ikinukuu uchunguzi wa awali. Naibu Ofisa Mkuu wa Idara ya Ujasusi, Ahmad al-Assiri na Mshauri Mkuu wa Mwanamfalme Mohammed Bin Salma Saud…
Canada yarasmisha bangi, waishiwa
Wiki iliyopita imekuwa ya kihistoria nchini Canada, kwani serikali ya nchi hiyo baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu hatimaye imefikia uamuzi wa kuruhusu matumizi binafsi ya bangi kwa watu wake. Maduka yalianza kuuza bangi saa 06:01 usiku wa kuamkia…
Matajiri Afrika wanavyotekwa
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, limeitikisa Tanzania, lakini si jipya kwa mwaka huu barani Afrika. Mo ni tajiri mkubwa wa saba barani Afrika kutekwa tangu mwaka 2018 ulipoanza. Matukio mengine ya namna hiyo yametokea nchini…
Kanye West adai kofia ya Trump imempa nguvu za Superman, akosoa shule za siku hizi
Si jambo la kushangaza kusikia Kanye West mmoja kati ya wasanii maarufu zaidi duniani katika miondoko ya kufoka foka amekutana na Rais wa Marekani Donald Trump. Kwa muda mrefu sasa amekuwa akionyesha hisia zake wazi wazi za kumsifu Trump kupitia…
MULTICHOICE YAZINDUA RASMI KITUO CHA MAFUNZO YA UANDAAJI FILAMU AFRIKA MASHARIKI
MultiChoice Africa imezindua rasmi kituo cha mafunzo ya uandaaji wa filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki . Sherehe za uzinduzi huo zimefanyika mjini Nairobi nchini Kenya katika makao makuu ya ofisi ya MultiChoice na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa tasnia…