JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

MKE WA JACOB ZUMA ATEULIWA KUWA WAZIRI WA OFISI YA RAIS AFRIKA KUSINI

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza baraza lake jipya la mawaziri. Waziri wa zamani wa fedha Nhlanhla Nene amerejeshwa tena katika nafasi hiyo. Nene alifukuzwa Disemba 2015 na Rais wa zamani Jacob Zuma na nafasi yake ikachukuliwa na Des…

SYRIA WAPUMZIKA KUPIGANA KWA MUDA, KUWAPA KUOKOA ROHO ZA RAIA

Rais wa Urusi Vladmir Putin ameagiza usitishwaji wa mapigano kwa takriban saa tano katika mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria katika maeneo ya mashariki mwa eneo la Ghouta linalodhibitiwa na waasi. Usitishwaji huo wa mapigano unaanza leo Jumanne na utajumuisha…

Serikali ya Nigeria yaomba radhi utekwaji wasichana

Kumekuwa na ongezeko la hali ya hasira kwa wazazi wa wasichana wanaodaiwa kutekwa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram ambao siku ya jumatatu wamevamia shule moja ya wasichana katika mji wa Daptch nchini humo. Wazazi wa wanafunzi hao waliokuwa…

DONALD TRUMP: WALIMU WARUSIWE KWENDA NA BUNDUKI MASHULENI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. ”Mwalimu mwenye bunduki anaweza kukabiliana na washambuliaji mara moja”, alisema. Bwana Trump alitoa pendekezo…

BAADHI YA WAZANZIBAR WAPAMBANA KUUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA NA TANZANIA BARA

  Kundi la wanaharakati lenye wafuasi zaidi ya elfu arobaini kutoka visiwani Zanzibar wamefungua kesi katika mahamaka ya Afrika Mashariki wakitaka Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uvunjwe kwa madai kwamba hauna uhalali. Rashid Salum Adiy ambae ni mmoja wa…

Cyril Ramaphosa Achaguliwa Kuwa Rais Mpya wa Afrika Kusini, Achukua Nafasi ya Jacob Zuma

Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa amepishwa kuwa rais wa Afrika Kusini baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu. Rais huyo mpya alikuwa mtu wa pekee aliyeteuliwa siku ya Alhamisi huku uteuzi huo ukiungwa mkono kwa…