JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Tillerson awapongeza Kenyatta, Raila

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Monica Juma. Tillerson alipongeza hatua ya rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ya kukutana na kufanya…

Tillerson aahidi kuendeleza uhusiano wa Marekani – Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ameahidi kwa mara nyingine mshikamano wa Marekani na nchi za Afrika, katika juhudi za kufuta kauli ya utata iliotolewa na Rais Donald Trump ikilikashifu bara hilo. Mkutano wa mwanadiplomasia wa ngazi…

Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha

Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi…

Trump akubali Kukutana na Kim Jong

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu…

Urusi yalaumiwa

Marekani imeishutumu Urusi kwa kukiuka hadharani mikataba iliyoafikiwa katika enzi za Vita Baridi, kwa kuunda kile Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alichokitaja kuwa kizazi kipya cha silaha madhubuti. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeghadhabishwa na tamko la Putin…

Wahamiaji waandamana Israel

Mamia ya wahamiaji wa Kiafrika waishio nchini Israel wameandamana huku wakiendelea na mgomo wa kutokula wakipinga sera mpya ya Israel yenye utata ya kutaka ama kuwafunga na kisha kuwarejesha makwao. Wahamiaji hao walitembea umbali mfupi kutoka kituo cha wazi cha…