Category: Kimataifa
Rais Recep Tayyip Erdogan aihoji Saudia kutoweka kwa Mwandishi
Rais wa Uturuk Recep Tayyip Erdogan ameitaka Saudia kutoa ushahidi kuhusiana na mwandishi wa habari aliyepotea kwamba alitoka nje ya majengo ya ubalozi wao mjini Istanbul. Mwandishi huyo raia wa Saudia Jamal Khashoggi kwa mara ya mwisho alionekana katika jengo…
Rais Donald Trump Amwagia Sifa Jaji mkuu mteule
Rais wa Marekani Donald amemuomba radhi kwa niaba ya raia wa Marekani Jaji mkuu mpya Brett Kavanaugh kwa kile alichokiita kwamba ni kampeni chafu za kisiasa zilizolenga kuharibu sifa binafsi ya Brett kutokana na mambo ya uzushi na uongo. Trump…
Korea Kaskazini yagoma kuharibu silaha
New York, Marekani Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Ri Yong-ho, ameonya kuwa hakuna namna ambayo nchi yake itaharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo. Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa unaoendelea jijini…
Tetemeko laacha maafa Indonesia
Jakarta, Indonesia Watu zaidi ya 380 wamethibitishwa kufa baada ya tsunami kusababisha tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richter 7.5, lililopiga mji wa Jakarta mwishoni mwa wiki. Upepo mkali ulivuma kutoka Palu katika Kisiwa cha Sulewesi kwa mita tatu. Video…
Nikki Haley ajibu tuhuma za Iran, kuwa Marekani ilihusika na shambulio
Balozi wa Marekani umoja wa mataifa ameitaka Iran ijiangalie yenyewe katika shambulio la la kijeshi lililoua watu 25 siku ya Jumamosi. Balozi huyo Nikki Haley amejibu tuhuma za rais wa Iran, anayeilaumu Marekani kwa kuhusika na shambulio hilo na kusema…