Category: Kimataifa
Mapigano jela yaua watu 100
QUITO Ecuador Walau watu 116 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na mapigano yaliyozuka ndani ya jela moja nchini Ecuador kati ya mahabusu na wafungwa wa makundi mawili hasimu. Taarifa rasmi zinataja vurugu hizo kuwa ndizo mbaya zaidi kuwahi kutokea ndani ya…
Mvutano mkali waibuka nyongeza chanjo ya corona
Washington, Marekani Jopo la washauri wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) limekumbana na mvutano mkali wakati wa kupitisha mapendekezo ya kuanza kutolewa kwa nyongeza ya chanjo ya corona (Covid-19) kwa waliochanjwa chanjo ya aina ya Pfizer nchini Marekani….
Mafisadi wajipanga
*Ni vigogo wazito serikalini, waanza figisu ujenzi wa reli ya SGR *Washirikiana na wazabuni wa nje kuhujumu ‘Lot 3’ na ‘Lot 4’ *Waanzisha kundi wakijiita wazalendo, latajwa ni fedha mbele *Kenya walipigwa bilioni 18.4 kila kilomita, wailengesha Tanzania DODOMA Na…
Bouteflika afariki dunia
ALGIERS, ALGERIA Rais wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Bouteflika ameliongoza taifa hilo la kaskazini mwa Afrika kwa takriban miongo miwili, akaachia ngazi mwaka 2019 baada…
Wataliban wapandisha bendera ya utawala
KABUL, AFGHANISTAN Wanamgambo wa Taliban wamepandisha bendera nyeupe kwenye jengo la rais kuashiria mwanzo wa utawala wao katika taifa la Afghanistan. Hatua hiyo imefikiwa baada ya operesheni ya kuleta amani iliyoanzishwa na Marekani ndani ya taifa hilo kukoma. Ripoti za…
Taliban, waasi watwangana kudhibiti ngome ya mwisho
PANJSHIR, AFGHANISTAN Wanamgambo wa Taliban wametafuna ng’ombe mzima ila mkia unataka kuwashinda. Mkia unaotaka kuwashinda upo katika ngome ya waasi iliyopo katika Mkoa wa Kaskazini wa Panjshir unaozungukwa na milima na mabonde. Waasi wa Panjshir wameamua kupigana kufa au kupona…