JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kimataifa

Wajasiriamali wabainisha fursa kwenye taka

DAR ES SALAAM NA ALEX KAZENGA Kuna fursa nyingi za kiuchumi na kimazingira ambazo zimejificha katika taka ambazo kimsingi zinaonekana hazina faida yoyote katika jamii. Hayo yamebainika katika maonyesho ya siku mbili ya wajasiriamali wa mazingira nchini. Katika maonyesho hayo…

Safari ya Uingereza kuondoka EU yaiva

London, Uingereza Safari ya Uingereza kujiondoa katika Jumuiya ya Ulaya (EU), maarufu kama Brexit imeiva. Hii ni baada ya Chama cha Conservative chini ya Waziri Mkuu Boris Johnson kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Desemba 12. Boris sasa ataweza…

TMDA yakamata dawa bandia za mamilioni

Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Mamlaka ya Vifaa Tiba na Dawa (TMDA) imefanikiwa kukamata  dawa bandia zisizofaa kwa matumizi ya binadamu na mifugo zenye thamani ya Sh milioni 56.966. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo inaonyesha kuwa katika mwaka wa…

Wapinzani sasa wataka Jafo ajiuzulu

Sakata la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 24, mwaka huu limechukua sura mpya baada ya wapinzani kumtaka Waziri wa Tamisemi, Selemen Jafo, kujiuzulu kutokana na ofisi yake kuvuga uchaguzi huo. Kuondolewa kwa zaidi ya asilimia 90 ya…

Mafuriko yawatesa wakazi wa Bunju ‘B’

Zaidi ya wakazi 300 wa Mtaa wa Bunju ‘B’ jijini Dar es Salaam wamo katika hatari ya kukumbwa na magonjwa ya mlipuko baada ya vyoo na nyumba zao kuzingirwa na maji yaliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni. Akizungumza na JAMHURI,…

Mugabe aagwa, azikwa

Muasisi wa taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe, alizikwa Jumapili iliyopita katika makaburi ya kitaifa mjini Harare. Wafuasi wa Mugabe walipanga foleni kutoa heshima za mwisho siku ya Alhamisi katika Uwanja wa Rufaro mjini Harare. Mke wa Mugabe, Grace, pamoja na…