Category: Kimataifa
Kenya yafuta ushirikiano na Kampuni ya India ya Adani Group
Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza kufuta mikataba ya ubia kati ya serikali na kampuni ya India ya Adani Group, ikiwemo ule wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) na mamlaka ya umeme. Rais Ruto alitaja madai…
Urusi yaipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza….
Netanyau aikosoa ICC kutoa warranty ya kukamatwa
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu (ICC) wa kutoa waranti ya kukamatwa kwake akisema ni “chuki” dhidi yake na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant. Alisema ICC inawashtumu…
Rais Ruto atoa hotuba bungeni kuhusu mustakabali wa taifa
Hotuba ya leo inakuja wakati huu serikali yake ikiendelea kutuhumiwa kutokana na visa utekaji wa watu, ufisadi na sera za kiuchumi ambazo zimepingwa. Wiki hii kulikuwa na wito wa kufanyika maandamano kupinga hotuba ya rais Ruto. Licha ya wito huo…
Mchezaji Shawky afariki uwanjani
Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Kafr El Sheikh SC inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Misri, Mohamed Shawky amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla uwanjani wakiwa kwenye mechi ya ligi dhidi ya Kazazeen iliyochezwa Novemba 14, 2024. Madaktari…
Waziri Mkuu Mali afutwa kazi kwa kuukosoa utawala wa kijeshi
Mkuu wa kijeshi wa Mali Kanali Assimi Goita amemfuta kazi Waziri Mkuu wa kiraia Choguel Kokalla Maiga na serikali yake. Hii ni siku chache tu baada ya Maiga kufanya ukosoaji wa nadra wa watawala wa kijeshi. Amri iliyotolewa na Kanali…