JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

WHO: Watu 3500 hufariki kwa homa ya ini kila siku

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani. Shirika la afya duniani limesema zaidi ya watu 3000 hufariki kwa homa ya…

MSD yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

Bohari ya Dawa leo imekabidhi bidhaa za afya mbalimbali kwa waathrika wa mafuriko Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Bidhaa hizo zimekabidhiwa kituo cha Afya Mohoro kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ambazo ni pamoja na Dawa, za kuzuia na kutibu malaria,…

DC Okash aibana TANESCO Bagamoyo, atoa maelekezo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo KATIKA kukabiliana na changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara, Serikali Wilayani Bagamoyo, imelielekeza uongozi wa shirika la umeme Tanesco Wilayani humo kuwa na siku moja ya kukata umeme kwa ajili ya matengenezo yasiyo ya…

TRCO yajitosa kumnusuru mnyama kakakuona

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau wa uhifadhi nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa mnyama Kakakuona analindwa na kutunzwa kwani yupo hatarini kutoweka. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la Tanzania Research Conservation Organization (TRCO) kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 umesema…

Wananchi wa Kipunguni kulipwa fidia

Na Josephine Majura WF, Dodoma Serikali imesema kuwa itaanza kufanya malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam ambao madai yao yamehakikiwa na hayana vikwazo vyovyote. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma…