JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Polisi kutoka nchi 14 kufanya mazoezi ya pamoja kukabiliana na uhalifu

Na Mwandishi, Jeshi la Polisi, Kilimanjaro Jeshi la Polisi Nchini, limesema linatalajia kuwa, mwenyeji wa zoezi la mafunzo ya utayari kwa vitendo (Field Training Exercise – FTX) mwaka 2024 litakalojumuisha nchi 14 wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda…

Jela miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi

Mahakama ya Wilaya ya Songwe mkoani Songwe tarehe 08 April 2024 imemhukumu mshtakiwa Shomari Hamis kwajina maarufu Kijasho Ras (28) Mchimbaji wa Madini, mkazi wa Patamela kata ya Saza, kutumikia adhabu ya Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la…

‘Tuendelee kuyaishi tuliyojifunza mwezi Mtukufu wa Ramadhani’

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda…

Waziri Mkuu ashiriki sala la Eid Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda…

Waziri Mkuu mgeni rasmi ufunguzi wa MAKISATU Tanga

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Wizara hiyo imefungua dirisha la usajili wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) zitakazopelekwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na…

Shambulio la kombora DRC lawaua wanajeshi watatu wa Tanzania

Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wanajeshi hao wanahudumu katika kikosi cha kutunza amani cha kijeshi cha Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Wanajeshi wengine watatu wanasemekana kujeruhiwa. Taarifa…