Category: Habari Mpya
Makala asikiliza kero kisayansi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala amesikiliza kero za wananchi wa mji wa Mpanda kwa staili ya aina yake. Makala ambaye anaongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi…
Jamii iache kudhulumu mali za yatima, itawaadhibu kesho kiama – Sheikh Mtupa
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Bagamoyo SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Hamis Mtupa ametoa rai kwa watu wanaodhulumu mali za yatima ili kujinufaisha na kuwaacha watoto hao wakitangatanga ,waache dhuluma hiyo kwani ni sawa na kula moto utakaowachoma kesho kiama. Aidha…
Mwenyekiti wa kijiji aenda jela miaka miwili kwa kupokea rushwa
Aprili 12, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tanganyika, mbele ya Sydney Nindi, Hakimu Mfawidhi, imefunguliwa kesi ya Jinai namba CC. 9586/2024 ya Jamhuri dhidi ya Bw. Ntunga Sahani Kuwasanya (Mwenyekiti wa Kijiji cha Kagunga Kata ya Kasekese, Wilaya ya Tanganyika,…
Nchimbi awasili Katavi kwa ziara ya kikazi
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk, Emmanuel John Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara hii anaongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo,…
‘ Mfumo wa maji Monduli ni wa miaka 1970’
Na Ahmed Sagaff – MAELEZO Mfumo wa maji uliopo katika vijiji vya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha ni wa miaka ya 1970 wakati vijiji hivyo vikiwa na watu wachache hivyo upatikanaji wa maji haukidhi mahitaji. Mwakilishi wa Familia ya aliyekuwa…
Makamba : Ndani ya CCM kuna fitina
Na Raisa Said,JamhuriMedia, Bumbuli Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Bumbuli January Makamba amesema kwenye Chama Cha Mapinduzi CCM kumekuwa na mambo ya kufitiniana hasa pale rais aliyepo madarakani anapotakiwa kuendelea na muhula…