JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Nchimbi : Serikali itamaliza kilio cha wananchi cha uhitaji wa barabara Stalike -Kibaoni Katavi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Nchimbi amesema ataongeza msukumo kwa Serikali kuhakikisha mradi wa Barabara ya Stalike – Kibaoni unaendelea na kukamilika kwa wakati kutokana ili kumaliza kilio cha wananchi wa Katavi cha uhitaji wa barabara…

Kinana apokea malalamiko ya mauaji ya wananchi Serengeti

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo ya mauaji yanayotokea katika maeneo ya hifadhi wilayani Serengeti mkoani Mara ambapo ametumia nafasi hiyo kukemea na kusisitiza hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa…

RC Mbeya atembelea Kawetele eneo kulikoporomoka mlima

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Komedi Juma Homera amefika mlima Kawetele uliopolomoka alfajiri ya leo na kusababisha kufukiwa kwa nyumba 20, ng’ombe wanne na kuharibika kwa miundombinu ya Shule ya Mary’s katika Mtaa wa Gombe…

Rais Mwinyi azindua sherehe ya miaka 60 ya muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa, Uchumi, utamaduni na huduma za jamii yameipatia nchi heshima kubwa kwenye…

Mwenge kuzindua miradi ya bilioni 5/- Muheza

Na Oscar Assenga, JamhuriMedia, Muheza Mwenge wa Uhuru Kitaifa unatarajiwa kukimbizwa wilayani Muheza Aprili 15 mwaka huu ukitokea wilaya ya Tanga na utazindua miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 4 ya maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Makala asikiliza kero kisayansi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala amesikiliza kero za wananchi wa mji wa Mpanda kwa staili ya aina yake. Makala ambaye anaongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi…