Category: Habari Mpya
Tukilipa kodi, tumeisaidia Serikali – Mkurugenzi Msalala
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Msalala Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala, Khamis Katimba amesema, wananchi wakilipa tozo na kodi vizuri, wanakuwa wameishaidia serikali kutekeleza majukumu yake kwao. Hivyo, amewataka wananchi wa Msalala kuhakikisha wanalipa tozo na kodi mbalimbali katika halmashauri…
Ujenzi kituo kipya cha utafiti wanyamapori nyanda za juu kusini kuanza rasmi Iringa
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) inaendelea kupanua wigo wa tafiti za wanyamapori kwa ustawi wa uhifadhi na kukuza utalii nchini ambapo, tarehe 13 Aprili 2024 zoezi la utiaji saini nyaraka za makabidhiano ya…
Rais Dk Mwinyi: Tuulinde Muungano na tuudumishe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano, kuuendeleza, kuudumisha na kuimarisha zaidi ili kuzidi kunufaika kwa dhamira ile ile ya Waasisi wa Taifa letu. Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa umoja wa…
JUMIKITA yalaani vikali matusi mitandaoni
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) imelaani vikali tabia mpya na mbaya inayofanywa na baadhi ya watu wasio waadilifu kutumia mitandao ya kijamii kutukana viongozi wa kiserikali ikiwemo Mhe Raia…
DAWASA yawafariji wagonjwa wa saratani Ocean Road, Amana
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeunga mkono jitihada za Serikali katika kuchangia matibabu ya wagonjwa wa saratani katika Taasisi ya Saratani na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana. Akizungumza wakati wakukabidhi misaada mbalimbali kwa…
Dk Jafo : Wananchi pande mbili za muungano wameunganishwa na lugha adhimu ya Kiswahili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMeda, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema miongoni mwa sababu za Muungano wa Tanzania ni udugu wa damu kati ya wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar….