JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dk Mpango ataka jamii kuwekeza kwenye uanzishaji bustani za kijani

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpangoametoa wito kwa sekta binafsi, mashirika, Taasisi za umma pamoja na Taasisi za dini kuwekeza katika uanzishaji na uendelezaji wa Bustani za Kijani nchini…

TEMESA inalipa milioni tano Azam Marine kila siku

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwa kuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri…

TEHAMA iwe kichocheo kwenye tathmini na ufuatiliaji wa takwimu – Dk Jingu

Na WAF, Arusha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema Matumizi na Teknojia ya habari iwe ni kichocheo cha kufanya ufuatiliaji na tathmini ili kupata takwimu sahihi zitakazo changia kufanya maamuzi sahihi wakati wa kuandaa mipango ya…

Rais Samia atoa tani 300 za chakula kwa waathirika wa mafuriko

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Alhaj Abubakar Kunenge amepokea misaada ya Tan 300 za unga ,mchele na maharage kutoka kwa mh.Rais Samia Suluhu Hassan. Kunenge amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa msaada ili…

Kakolonya atoroka kambini, saa chache kabla ya mechi na Yanga

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mlinda lango namba moja wa klabu ya Singida Black Stars, Beno Kakolanya anadaiwa kutoroka kambini saa chache kabla ya mechi yao dhidi ya Yanga iliyochezwa jana katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza….